Tuesday, June 22, 2010

FTMT/TMF Iringa Training

Mtaalam na mpiga picha nchini, Mwanzo Millinga (wa kwanza kushoto) akiwaelekeza jambo waandishi wa habari Mkoani Iringa walioshiriki mafunzo ya upigaji picha yalioendeshwa na Flame Tree Media Trust kwa ufadhili wa Tanzania Media Fund.


No comments:

Post a Comment