Tuesday, August 17, 2010

Mwakalebela atinga MahakamaniAliyekuwa mgombea wa ubunge katika jimbo la Iringa Mjini kwa tikiti ya CCM,Frederick Mwakalebela, mkewe Selina Mwakalebela na wapambe wake wakiwasili katika 'Uwanja wa Haki' wa Mkoa wa Iringa a.k.a Mahakama ya Mkoa wa Iringa kujibu mashitaka yanayomkabili ya kutoa hongo katika mchakato wa kura za maoni.

No comments:

Post a Comment