Tuesday, August 17, 2010

Mwakalebela na Mkewe wakiwa mahakamani


Mwakalebela kwa pamoja na mkewe wakiwa kizimbani katika mahakama ya Mkoa wa Iringa kujibu tuhuma zinazowakabili

1 comment:

  1. Siasa za CCM si za kuchezea. Jamaa alikuwa anakula mihela TFF sasa kajipalia mkaa kuingia kwenye siasa. haki ya nani, jamaa anakula namba kama utani - Baba Junior

    ReplyDelete